Sema jimbo la Mikumi lipo wilaya ya Kilosa. Na sio hicho ulichoandika hapa.Acha uhuni, Kilosa iko Jimbo gani?
Kwa taarifa enyi msioijua Morogoro, Kilosa iko Jimbo la Mikumi
Otherwise nenda katafute mbunge wa Kilosa nani, then rudi
Kilosa kuna majimbo mawili.Kuwa serious mkuu, Kilosa ni Jimbo la Mikumi, kwa hiyo pale alikuwa jimboni kwake
Anaitwa Bawazir...Huyu ndio wa Kilosa,Prof yupo Jimbo la Mikumi.Kiwilaya,Mikumi ipo ndani ya Wilaya ya Kilosa.Ni kama vile Segelea na Ukonga,majimbo tofauti lakini yote kiwilaya yapo Wilaya ya IlalaAcha uhuni, Kilosa iko Jimbo gani?
Kwa taarifa enyi msioijua Morogoro, Kilosa iko Jimbo la Mikumi
Otherwise nenda katafute mbunge wa Kilosa nani, then rudi
Kilosa ina majimbo mawili kilosa yenyewe na mikumi prof yupo mikumiKuwa serious mkuu, Kilosa ni Jimbo la Mikumi, kwa hiyo pale alikuwa jimboni kwake
Anapiga kazi sanaHuyu jamaa smart sana na hana uchama...bahati mbaya Rais ndo mtu wa uvyama...Mikumi msifanye makosa prof mtu sahihi kwenu.
OkeyAnaitwa Bawazir...Huyu ndio wa Kilosa,Prof yupo Jimbo la Mikumi.Kiwilaya,Mikumi ipo ndani ya Wilaya ya Kilosa.Ni kama vile Segelea na Ukonga,majimbo tofauti lakini yote kiwilaya yapo Wilaya ya Ilala
Bei yake ni shilingi ngapi?Huyo mbunge hana lugha chafu kama wenzake.
Bei yake ni shilingi ngapi?
Mbaraka Salim Bawazir, ndie mbunge wa Kilosa 2015-2020, Kabudi nae anataka agombee kilosa mwaka huu, so usitudanganye kwamba kilosa iko ndani ya jimbo la mikumi, ni majimbo mawili tofautiAcha uhuni, Kilosa iko Jimbo gani?
Kwa taarifa enyi msioijua Morogoro, Kilosa iko Jimbo la Mikumi
Otherwise nenda katafute mbunge wa Kilosa nani, then rudi
Mzee, kuna sehemu hata "mataga" wenyewe wanajua ni ngumu sana kucheza rafu na ikafanikiwa.Kama utawekwa uwanja wa siasa ulio sawa safari hii magamba watalizwa vibaya sana
Hv uliifuatilia ile ziara au unapayuka tu? Wabunge wote wa mkoa wa morogoro walikuwepo, zaidi ya wabunge kumi na wote waliongea
Mzee, kuna sehemu hata "mataga" wenyewe wanajua ni ngumu sana kucheza rafu na ikafanikiwa.
Ukiwa genius kwenye muziki, hesabu, uchumi ukihamishiwa kwingine ni rahisi kujiudjust na ugenius wako kuendelea kuonekana, Ndiyo maana Sugu na Profesa walikuwa pioneers wa hip hop nchini lakini walipobadilisha fani na kuingia kwenye siasa wanatema madini hata huko
Acha mihemko kijana.Wacha ushamba.
Jaribu basi kuwatenganisha Prof. J na Joseph Haule kwenye sanduku la kura tuone utamchagua nani?!
[emoji23][emoji23] wanataka kumridhisha jiwe tu ila wanaelewa hali halisi mzee.Nikweli Ila wanajifanya kula ngumu kuficha aibu ya boss wao
[emoji23][emoji23] wanataka kumridhisha jiwe tu ila wanaelewa hali halisi mzee.
Hakuitwa peke yake, waliitwa wabunge wote wa Morogoro kusalimia,akiwemo LijualikaliKwanini aliitwa Prof J na sio mbunge wa Kilosa?
CDM inapendwa sana sana kila mahali tulinde kura zetu ziziibwe kwa bao la mkono.29 Juni 2020,
Mbunge wa CHADEMA mkoani Morogoro leo ameonesha sababu ya wananchi wa Morogoro siyo tu jimboni kwake Mikumi kumkubali kwa kusema wazi bila woga changamoto zinazoikabili mkoa wa Morogoro.
Pia wananchi wameonesha kumkubali bila kujali vyama ikiwa mbunge anatetea maslahi ya ustawi wa wananchi kijamii, kiuchumi, kiafya na kielimu.
ππππ½π€π»Nakuunga mkono kwa 100%