Mbunge Joseph Haule 'Prof. Jay' msemaji rasmi wa Kilosa

Mbaraka Salim Bawazir, ndie mbunge wa Kilosa 2015-2020, Kabudi nae anataka agombee kilosa mwaka huu, so usitudanganye kwamba kilosa iko ndani ya jimbo la mikumi, ni majimbo mawili tofauti
Huyo ni Mbunge wa Kilosa Mjini

Chukua hiyo
 
Pole mkuu na samahani, ila ndo Kama hivyo wote walikuwepo na waliongea kila mmoja kwa dakika chache, samahani kwa kukukwaza
Kupayuka ndio nini Mkuu, kumbuka kuwa tukio linatokea nilikuwa nimezuiwa njiani/barabarani hivyo sikuwa na bahati ya kufatilia pamoja na kwamba sio lazima kufuatilia
 
Huyu huyu HATUKUBALI AONDOKE labla kifo ndio kimuondoe.
 
CHADEMA chama cha Taifa la Tanzania. Inawakilisha waTanzania wote bila ubaguzi wa kisiasa kubwa ni yaani Maendeleo na Demokrasia ya kusema kweli daima kwa manufaa ya raia wote wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…