Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hahahahaha! Naomba kufahamu hao ni wanajeshi wa JWTZ au wa huko huko Zanzibar?Angalau huyu anawakumbuka wenzie, kuna wale viazi wa CWT akishapata shavu tu anaanza kuwakaanga wenzie.
Itakuwa KMKMHahahahaha! Naomba kufahamu hao ni wanajeshi wa JWTZ au wa huko huko Zanzibar?
usiwe kila kitu lawamaYaani ni mbunge na bado anakomba mafao ya jeshi daah