ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hiyo hela yenyewe (consultation fee) haiendi kwa daktari, ni mojawapo ya vyanzo vya mapato kwenye vituo vya afya (user fee) ambazo hukusanywa na mwishowe huingizwa kwenye account ya mapato ya kituo husika ambayo msimamizi wake ni serikali.Naungana na Kishimba,Bora kuchangia gharama za dawa,vifaa tiba kuliko hii wanaita consultation fee,huu ni wizi sawa na Kulipishwa unapoingia stendi kukata Tiketi.
Hongera Kishimba Kwa hoja murua,unawashinda Hadi wanaojiita Wapinzani hawana hata kitu wanachoweza kusimama nacho Kwa Wananchi.👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DCEGJZoIdVg/?igsh=ZmZkMjJmbXltcHMx
iache kuwatoza pesa ya leseni maana wanachofanya ni HUDUMA. Serikali jalini sana hao madaktari.Hiyo hela yenyewe (consultation fee) haiendi kwa daktari, ni mojawapo ya vyanzo vya mapato kwenye vituo vya afya (user fee) ambazo hukusanywa na mwishowe huingizwa kwenye account ya mapato ya kituo husika ambayo msimamizi wake ni serikali.
Hao hao madaktari wanaodhaniwa kwamba ndiyo wanaochukua hizo hela (consultation fee) hutakiwa kulipia Tsh. 100,000/= kila mwaka kwa ajili ya leseni wakati hakuna biashara anayofanya daktari kupitia hiyo leseni. Na hiyo Tsh. 100,000/= inaenda huko huko serikalini.
Ni wizi,ukomeshweHiyo hela yenyewe (consultation fee) haiendi kwa daktari, ni mojawapo ya vyanzo vya mapato kwenye vituo vya afya (user fee) ambazo hukusanywa na mwishowe huingizwa kwenye account ya mapato ya kituo husika ambayo msimamizi wake ni serikali.
Hao hao madaktari wanaodhaniwa kwamba ndiyo wanaochukua hizo hela (consultation fee) hutakiwa kulipia Tsh. 100,000/= kila mwaka kwa ajili ya leseni wakati hakuna biashara anayofanya daktari kupitia hiyo leseni. Na hiyo Tsh. 100,000/= inaenda huko huko serikalini.
Wale wa Serikali isiwatoze ila wale wa private watozweSerikali
iache kuwatoza pesa ya leseni maana wanachofanya ni HUDUMA. Serikali jalini sana hao madaktari.
Hiyo consultation fee sidhani kama itatolewa kwa sababu ni njia mojwapo ya mapato ya kituo husika. Hela hiyo inapopatikana ndiyo hutumika kununua dawa na vifaa tiba baada ya makusanyo yote. Kila kituo cha afya kinatakiwa kiwe na vyanzo vya mapato mbali na ruzuku toka serikalini ambapo moja ni hiyo consultation fee/ada ya kumuona daktari.Ni wizi,ukomeshwe
Ni wizi unatakiwa kuondolewaHiyo consultation fee sidhani kama itatolewa kwa sababu ni njia mojwapo ya mapato ya kituo husika. Hela hiyo inapopatikana ndiyo hutumika kununua dawa na vifaa tiba baada ya makusanyo yote. Kila kituo cha afya kinatakiwa kiwe na vyanzo vya mapato mbali na ruzuku toka serikalini ambapo moja ni hiyo consultation fee/ada ya kumuona daktari.
Kilichopo ni dhana kwamba hiyo hela ni ya daktari, lakini ukweli ni kwamba mgonjwa anapotoa haiingii kwenye mfuko wa daktari. Kwa hiyo watu hufikiri kwamba hiyo hela ni daktari lakini siyo, ni mapato ya kituo cha chake kazi.
Uwepo wa kituo hautoshi kufanya huduma ya matibabu ifanyika pasipo daktari na wasaidizi wengine, Mbunge asiongee kuwafurahisha wapiga kura wake atumie akili hata hiyohiyo kusoma na kuandika inatosha kung'amua hilo!Mbunge wa Jimbo la Kahama Jumanne Kishimba amehoji suala la malipo ya kumuona daktari licha ya vituo vya afya kujengwa na wananchi
Hela ya Kumuona Daktari ya nini? Salary ,posho,night calls nk wanalipwa za nini?Uwepo wa kituo hautoshi kufanya huduma ya matibabu ifanyika pasipo daktari na wasaidizi wengine, Mbunge asiongee kuwafirahisha wapiga kura wake atumie akili hata hiyobya kusoma na kuandika inatosha kung'amua hilo!
Je kama docta ana kituo chake binafsi cha afya na wakati huohuo ameajiliwa serikalini, hawez kutumia leseni yake hapo kituon kwake?Hiyo hela yenyewe (consultation fee) haiendi kwa daktari, ni mojawapo ya vyanzo vya mapato kwenye vituo vya afya (user fee) ambazo hukusanywa na mwishowe huingizwa kwenye account ya mapato ya kituo husika ambayo msimamizi wake ni serikali.
Hao hao madaktari wanaodhaniwa kwamba ndiyo wanaochukua hizo hela (consultation fee) hutakiwa kulipia Tsh. 100,000/= kila mwaka kwa ajili ya leseni wakati hakuna biashara anayofanya daktari kupitia hiyo leseni. Na hiyo Tsh. 100,000/= inaenda huko huko serikalini.
Kulipia keseni ni kawaida na daktari mwenye leseni yuko huru kufanya kazi popote na muda wowote. Wapo madokta ambao hukodisha leseni zao kwa watu wanaofanya biashara ya vituo vya afya na fanas, wasipolipia leseni nazan unaweza hisi nini kinaweza kutokeaSerikali
iache kuwatoza pesa ya leseni maana wanachofanya ni HUDUMA. Serikali jalini sana hao madaktari.
Sijawahi kukosea kwasababu tangu muda nilijua kuwa wewe kichwani hamupo sawaNaungana na Kishimba, Bora kuchangia gharama za dawa, vifaa tiba kuliko hii wanaita consultation fee, huu ni wizi sawa na Kulipishwa unapoingia stendi kukata Tiketi.
Hongera Kishimba Kwa hoja murua, unawashinda Hadi wanaojiita Wapinzani hawana hata kitu wanachoweza kusimama nacho Kwa Wananchi.
===========
Mbunge wa Jimbo la Kahama Jumanne Kishimba amehoji suala la malipo ya kumuona daktari licha ya vituo vya afya kujengwa na wananchi
Kishimba alisema kwanini wananchi wamekuwa wakitozwa fedha ili kumuona daktari ilihali analipwa na serikali na wananchi walijenga kituo cha afya wenyewe
Wenyewe kwa wenyewe wanawazingua wananchi ambulance tu ni kama teksi lazima ulipe!Naungana na Kishimba, Bora kuchangia gharama za dawa, vifaa tiba kuliko hii wanaita consultation fee, huu ni wizi sawa na Kulipishwa unapoingia stendi kukata Tiketi.
Hongera Kishimba Kwa hoja murua, unawashinda Hadi wanaojiita Wapinzani hawana hata kitu wanachoweza kusimama nacho Kwa Wananchi.
===========
Mbunge wa Jimbo la Kahama Jumanne Kishimba amehoji suala la malipo ya kumuona daktari licha ya vituo vya afya kujengwa na wananchi
Kishimba alisema kwanini wananchi wamekuwa wakitozwa fedha ili kumuona daktari ilihali analipwa na serikali na wananchi walijenga kituo cha afya wenyewe
Hii elimu ya bongo ni takataka tu mfano umeshindwa kugusia kuwa hiyo inayoitwa pesa ya kumuona daktari huwa anachukua nani? Na je serikali huwa hawajui kweli kitù hicho? Hilo swala la bima kwa kila mtu sio la kuwalaumu wananchi kwasababu huwa wanaona hata kwa hao wenye nazo mziki wake kupata huduma sio rahisiWatanzania wengi tumekuwa na mtazamo wa kutegemea kila kitu kutoka serikalini bila kuzingatia umuhimu wa kujipanga kwa mambo muhimu kama afya. Ujinga huu ambao tumerithishwa na CCM yetu inatufanya tusipange bajeti ya afya zetu, wakati tunaweza kuchangia kwa njia mbalimbali kama vile bima ya afya ambayo inapatikana na kusaidia kwa gharama za matibabu.
Hospitali na inatumia rasilimali nyingi majengo, vifaa, dawa, mishahara ya madaktari na wauguzi na serikali pekee haiwezi kubeba mzigo huu wote, hasa kwa nchi yenye uchumi mdogo kama yetu. Serikali inajitahidi kutoa ruzuku kwa kiasi kinachowezekana, lakini idadi ya watu ni kubwa na inazidi kuongezeka.
Viongozi kama Mheshimiwa Kishimba wanapotumia lugha kama hii, wanajua ukweli lakini mara nyingi wanaangalia zaidi umaarufu wa kisiasa kuliko kuwaambia wananchi ukweli na kuwahamasisha kuchukua hatua za kujitegemea. Wananchi wanapaswa kuwa na bima za afya, kupanga bajeti zao, na kuwa tayari kuchangia kidogo katika gharama za matibabu ili kuboresha hali ya huduma zinazopatikana.
Suluhisho ni kwamba wananchi wanapaswa kuanza kuelewa umuhimu wa kujitegemea kwenye huduma muhimu kama afya, badala ya kutegemea serikali kwa asilimia mia moja. Serikali inaweza kusaidia, lakini sisi sote kama jamii tunapaswa kubadilika kifikra na kujua umuhimu wa kuchangia kwenye afya zetu wenyewe kwa kuwekeza kwenye bima na kuunga mkono gharama za tiba pale inapowezekana.
Wewe kichwani kwako kuko sawa?Sijawahi kukosea kwasababu tangu muda nilijua kuwa wewe kichwani hamupo sawa
Wanajua ndio maana Mbunge anapendekeza ifutwe ni upuuzi na wiziHii elimu ya bongo ni takataka tu mfano umeshindwa kugusia kuwa hiyo inayoitwa pesa ya kumuona daktari huwa anachukua nani? Na je serikali huwa hawajui kweli kitù hicho? Hilo swala la bima kwa kila mtu sio la kuwalaumu wananchi kwasababu huwa wanaona hata kwa hao wenye nazo mziki wake kupata huduma sio rahisi