Mbunge Jumanne Kishimba: Kwanini wananchi walipe pesa ya kumuona daktari wakati wananchi walijenga kituo cha afya wenyewe?

Umuhimu wa kujipanga upo na tunajioanga ila haiwezekani Kila kitu kiwe Cha kulipia,Kodi zetu zinafanya nini Sasa?
 
Je kama docta ana kituo chake binafsi cha afya na wakati huohuo ameajiliwa serikalini, hawez kutumia leseni yake hapo kituon kwake?
Mojawapo ya vigezo vya kuanzisha kituo binafsi cha afya ni kuwa na cheti cha usajili cha daktari (certificate of registration) ambacho hulipiwa na hutolewa mara moja tu. Leseni inahuishwa na kulipiwa kila mwaka.
 
Wachangia mada wako vizuri kabisa hizo Hela hapewi daktari lengo kubwa ni kwa ajili ya kuongeza mapato ambayo mapato hayo ni kwa ajili ya kuendesha hospital kwenye kununua vifaa tiba, dawa pamoja na ukarabati
Nani aliyesema hela anapewa daktari ? Mbunge si anaiambia Serikali iache au?
 
Mwenyekiti wa CCM anahimiza bima ya Afya kwa wote Mbunge unaanzaje kuongelea maswala gharama juu??
Mbunge hakikisha wananchi wako wana bima ya afya
 
Yaani Kila mwezi Daktar anatakiwa ailipe serikali 10000 wizi mtupu
 
anafaa kuwa waziri mkuu yuko vizuri kuliko majaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…