Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MBUNGE JACQUELINE KAINJA AWAWEZESHA KIUCHUMI WANAWAKE WA KATA 35 ZA WILAYA YA IGUNGA
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew ameendelea na ziara yake katika Kata 35 za Wilaya ya Igunga akiwa na lengo la kuwapa mitaji wanawake ili kuwainua kiuchumi katika miradi yao ya ujasiriamali.
Itakumbukwa kuwa, Mhe. Kainja ametoa fedha kiasi cha Shilingi Millioni 81 kwa Kata 206 za Mkoa wa Tabora yenye lengo la kuwawezesha wanawake wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kiuchumi.
Katika mradi uliogharimu Shilingi 81,000,000 Mbunge Kainja ameendelea kupeleka pesa hizo katika Kata 35 za Wilaya ya Igunga ili weweze kufanya miradi kwenye Kata zao kama Ufugaji wa Mbuzi, Mazao, Ununuzi wa Mashamba na Ufugaji wa Kuku.
Attachments
-
WhatsApp Image 2023-07-08 at 21.08.43(11).jpeg89.8 KB · Views: 3 -
WhatsApp Image 2023-07-08 at 21.08.43(10).jpeg79.4 KB · Views: 3 -
WhatsApp Image 2023-07-08 at 21.08.43(9).jpeg107.6 KB · Views: 2 -
WhatsApp Image 2023-07-08 at 21.08.43(8).jpeg84.3 KB · Views: 4 -
WhatsApp Image 2023-07-08 at 21.08.43(2).jpeg82.9 KB · Views: 3