Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MBUNGE KAINJA NA MIRADI KATIKA KATA 206 MKOA WA TABORA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora Mhe. Jacqueline Kainja Andrew anatarajia kuanza ziara rasmi kutembelea Kata 206 na kuzindua MIRADI mbalimbali tarehe 07 Julai, 2023 ambapo mgeni rasmi atakuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Batilda Buriani
Aidha, Mhe. Jacqueline Kainja amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mwaka 2022-2023 kupeleka
✅ Shilingi Bilioni 6.8 Miradi ya Afya
✅ Shilingi Bilioni 27 Miradi ya Elimu
✅ Shilingi Bilioni 30 Miradi ya Maji
✅ Mradi wa SGR
"SISI WANAWAKE WA MKOA WA TABORA TUNAKUPONGEZA NA TUKO PAMOJA NA WEWE MAMA"