Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mbunge Kanyasu Aeleza Mafanikio na Changamoto za Maendeleo Jimboni Geita
Mbunge wa Jimbo la Geita, Costantine Kanyasu, amesema zaidi ya zahanati 40 zimejengwa katika jimbo hilo katika kipindi cha uongozi wake.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tawi la Katoma, Kanyasu alifafanua kuwa ingawa maeneo mengi yamenufaika na ujenzi wa zahanati, Mtaa wa Katoma haujapata zahanati kutokana na ukosefu wa eneo la kujenga.