BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya Masache Kasaka ameshiriki katika maadhimisho ya siku ya Mwanamke duniani ambapo kiwilaya ya Chunya yamefanyika ukumbi wa Halmashauri Sapanjo.
Sambamba na hilo ametoa mitungi midogo ya gesi 100 kwa ajili ya Mama Lishe na kiasi cha Tsh. 3,000,000/= kwa kinamama hao.
Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025