Mbunge Kasalali: Magari yakubeba Taka na yenyewe ni Takataka, NEMC imekosa meno

Mbunge Kasalali: Magari yakubeba Taka na yenyewe ni Takataka, NEMC imekosa meno

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mbunge wa Sumve, Emmanuel Kasalali amesema mamlaka maalumu inapaswa kuwepo ili kusimamia masuala ya Mazingira kwani haijachukuliwa kwa mkazo wake

Amesema siku za hivi karibuni Nemc imekuwa ikifunguia baadhi ya baa lakini baadhi ya wakuu wa wilaya wanasimamia kuzifungua

Pamoja na hilo amesema suala la mazingira libebwe kwa mkazo wake kwani magari ya taka na yenyewe yamekuwa ni takataka.
 
Nemc ni kama haipo
Kuna huu uharamia wa kuchota mchanga mtoni unaofanyika kwenye bonde la msimbazi maeneo ya segerea kwa kweli serikali haipo
 
Nemo yenyewe ni takataka tu iliyokasimiwa mamlaka isyoyamudu!. Kelele zinazozalishwa mitaani na kuwa kero kwa wakazi hata hawazioni, sembuse takataka? 💢
 
Duh gari la taka likisimana kuzoa taka linaacha mchuzi hapo chini unanuka wiki nzima!
 
Back
Top Bottom