Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Feb 7, 2025 #1 Mbunge wa Sumve, Emmanuel Kasalali amesema mamlaka maalumu inapaswa kuwepo ili kusimamia masuala ya Mazingira kwani haijachukuliwa kwa mkazo wake Amesema siku za hivi karibuni Nemc imekuwa ikifunguia baadhi ya baa lakini baadhi ya wakuu wa wilaya wanasimamia kuzifungua Pamoja na hilo amesema suala la mazingira libebwe kwa mkazo wake kwani magari ya taka na yenyewe yamekuwa ni takataka. Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Sumve, Emmanuel Kasalali amesema mamlaka maalumu inapaswa kuwepo ili kusimamia masuala ya Mazingira kwani haijachukuliwa kwa mkazo wake Amesema siku za hivi karibuni Nemc imekuwa ikifunguia baadhi ya baa lakini baadhi ya wakuu wa wilaya wanasimamia kuzifungua Pamoja na hilo amesema suala la mazingira libebwe kwa mkazo wake kwani magari ya taka na yenyewe yamekuwa ni takataka. Your browser is not able to display this video.
Clarity JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 1,828 Reaction score 2,637 Feb 7, 2025 #2 Nemc ni kama haipo Kuna huu uharamia wa kuchota mchanga mtoni unaofanyika kwenye bonde la msimbazi maeneo ya segerea kwa kweli serikali haipo
Nemc ni kama haipo Kuna huu uharamia wa kuchota mchanga mtoni unaofanyika kwenye bonde la msimbazi maeneo ya segerea kwa kweli serikali haipo
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 4,291 Reaction score 5,786 Feb 7, 2025 #3 Nemo yenyewe ni takataka tu iliyokasimiwa mamlaka isyoyamudu!. Kelele zinazozalishwa mitaani na kuwa kero kwa wakazi hata hawazioni, sembuse takataka? 💢
Nemo yenyewe ni takataka tu iliyokasimiwa mamlaka isyoyamudu!. Kelele zinazozalishwa mitaani na kuwa kero kwa wakazi hata hawazioni, sembuse takataka? 💢
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Feb 7, 2025 #4 Duh gari la taka likisimana kuzoa taka linaacha mchuzi hapo chini unanuka wiki nzima!