Mbunge Kasalali Mageni: Nchi hii haiwezi kula Ripoti ya kupikwa. Tume iliyokwenda Mto Mara ichunguwe

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Kasalali Mageni amesema anaamini Tume iliyokwenda Mto Mara inahitaji kuchunguzwa, akisisitiza "Hata kwa Wasomi wa Nchi hii inatuleta walakini kuhusu Utaalamu wetu, Elimu yetu na viwango vyake"

Mbunge huyo wa Sumve amesema "Idadi ya watu wanaougua Saratani Kanda ya Ziwa ni wengi sana. Tunahitaji Uchunguzi wa kina kufahamu chanzo cha Magonjwa ya Saratani Kanda hiyo. Chanzo kikubwa ni Wataalamu wetu wengi wana mazingira ya rushwa. Nchi hii haiwezi kula Ripoti ya kupikwa"

Akiwa Mkoani Mwanza Novemba 18, 2021 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alisisitiza umuhimu wa Tafiti kujikita zaidi katika kubaini kwanini Kanda ya Ziwa inaongoza kwa Saratani

Alisema, "Kuna sababu kadhaa zinatolewa, wengine tunasema labda ni uchafuzi wa mazingira"

==
Pia soma Kwa riport ya mto Mara tunaomba rais aunde tume ya wataalam kutoka nje
 
huyo kijana namkubali sana sema nikikutana nae Moro akiwa amewekwa ndani na mwanamke mmoja yeye kazi yake ilikuwa ni kumega mzigo,ila dogo alikuwa anawamega waruguru balaaa.
 
Kasalali Mageni amesema anaamini Tume iliyokwenda Mto Mara inahitaji kuchunguzwa, akisisitiza "Hata kwa Wasomi wa Nchi hii inatuleta walakini kuhusu Utaalamu wetu, Elimu yetu na viwango vyake"

Mbunge huyo wa Sumve amesema "Idadi ya watu wanaougua Saratani Kanda ya Ziwa ni wengi sana. Tunahitaji Uchunguzi wa kina kufahamu chanzo cha Magonjwa ya Saratani Kanda hiyo. Chanzo kikubwa ni Wataalamu wetu wengi wana mazingira ya rushwa. Nchi hii haiwezi kula Ripoti ya kupikwa"

Akiwa Mkoani Mwanza Novemba 18, 2021 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alisisitiza umuhimu wa Tafiti kujikita zaidi katika kubaini kwanini Kanda ya Ziwa inaongoza kwa Saratani

Alisema, "Kuna sababu kadhaa zinatolewa, wengine tunasema labda ni uchafuzi wa mazingira"

View attachment 2181408
Jafo aachie ngazi hii ni aibu kubwa kwake
 
Back
Top Bottom