Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mbunge wa Jimbo la Nyang’hwale, Hussein Nassoro Kassu, ameonya baadhi ya watu wanaoeneza madai ya uongo kuhusu matumizi ya mfuko wa jimbo, akisisitiza kuwa iwapo yeyote atabainika kusambaza taarifa zisizo za kweli, hatua za kisheria zitachukuliwa.
Akizungumza na wananchi katika hafla ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassu amesema tuhuma hizo zimekuwa zikijirudia mara kwa mara, licha ya kuwa tayari ametoa onyo kwa wale wanaoeneza uzushi huo.