saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Mbunge Katani amesema kitendo cha Waziri Mwigulu kudharau Phd za heshima amesahau Rais Samia Suluhu Hassana amepewa udaktari wa heshima kwa mageuzi makubwa aliyofanya nchini, Mstaafu Jakaya Kikwete alipewa udaktari wa heshima kwa kazi nzuri aliyofanya.
Iweje Mwigulu yeye adharau Udaktari wa heshima?
Iweje Mwigulu yeye adharau Udaktari wa heshima?