Mbunge Katani: Mwigulu anadharau udaktari wa heshima

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Mbunge Katani amesema kitendo cha Waziri Mwigulu kudharau Phd za heshima amesahau Rais Samia Suluhu Hassana amepewa udaktari wa heshima kwa mageuzi makubwa aliyofanya nchini, Mstaafu Jakaya Kikwete alipewa udaktari wa heshima kwa kazi nzuri aliyofanya.

Iweje Mwigulu yeye adharau Udaktari wa heshima?

Kumekucha, jamaa katoka na nje ya bunge kuendeleza mapambano. 😂😂
 
zao la katani au katani jina? huyu mwaka 2025 harudi tena.
 
Mwigulu mwenyewe PhD yake ya kubebwa sioni anachoweza kuwadharau wenzake wakati naye na yale yale hana stahiki ya kuwa na hiyo PhD. Huyu Madelu naye angefyata tu asije kuumbuliwa.
 
Watu wameamua kumsagia kunguni huyu mshamba mjivuni asiyejitambua
 
Watu wameamua kumsagia kunguni huyu mshamba mjivuni asiyejitambua
Yaani iyo PhD ya heshima kwanza Ni kuwa umefanya kitu practical kimeonekana na sio kama hao waliokariri darasani kama kasuku wakapewa na hawajafanya chochote kivitendo kuonekana zaidi ya nadharia.
 
Yaani iyo PhD ya heshima kwanza Ni kuwa umefanya kitu practical kimeonekana na sio kama hao waliokariri darasani kama kasuku wakapewa na hawajafanya chochote kivitendo kuonekana zaidi ya nadharia.
Acha uongo
 
Ukisikia mdomo kukiponza kichwa, ndiyo hapo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…