Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Serikali imeshauriwa kuboresha mazingira na maslahi ya askari polisi ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi wa polisi katika mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa mwaka 2025/2026.
Hayo yamesemwa leo Jumatano Novemba 6, 2024 na Mbunge wa Bahi (CCM), Kenneth Nollo wakati akichangia katika mpango huo.
Amesema kuwa ili nchi iwe na amani kwa wawekezaji tunatakiwa kuwekeza katika usalama wa nchi, na polisi ndio watu pekee waliobeba jukumu la kulinda usalama wetu.