Mbunge Kenneth Nollo: Maslahi ya askari polisi yaboreshwe ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi Mpango wa Taifa 2025/2026

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Serikali imeshauriwa kuboresha mazingira na maslahi ya askari polisi ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi wa polisi katika mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa mwaka 2025/2026.

Hayo yamesemwa leo Jumatano Novemba 6, 2024 na Mbunge wa Bahi (CCM), Kenneth Nollo wakati akichangia katika mpango huo.

Amesema kuwa ili nchi iwe na amani kwa wawekezaji tunatakiwa kuwekeza katika usalama wa nchi, na polisi ndio watu pekee waliobeba jukumu la kulinda usalama wetu.

Your browser is not able to display this video.
 
Kabla hatujafa ,hatujaumbika, IPO siku tutapata maumbile mapya na yataleta mabadiliko mapya
 
Kikao cha bunge au cha ccm ?
 

Angeanza na kuwataka kufuata sheria na kufurushwa kwa wote wasiofuata sheria kutafuta uhalali kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…