Yeah bado niko Nai, ni kweli nasikia pia jamaa ana matatu za tao Buruburu kibao. muhtasari wa habari wa saa tisa Classic fm wametangaza kuwa jamaa kanyimwa dhamana so ataendelea kuwa kabatini hadi ijumaa kesi yake itakapotaja tena! Kesi yake kwa sasa ni kuwa na pesa nyingi pasipo kueleza ni jinsi gani amezipata!Mkuu genekai,
Hivi bado upo Nairobi? Huyu bwana nasikia ana zile matatu kibao mitaa ya kwao huko.
Sheria ni msumeno ila kwa Tz sheria ni kisu yaani kinakata pande mmoja tuu
Sema Morio,
huyu chalii ni mgondi na hebu wacheni zenu. How would you have high hopes in such dubious characters..ama ni kwa vile mathree zake zilikua 'sare'...😱
Anyway let justice take its course lakini knowing the Kenyan system the jamaa can be 'sanitized' kisha akarudi bungeni. Im just laughing at how the judge denied him bond till Friday...thats a long time to be in remand.
I wonder what Martha Karua has to say on this one?
Jamaa alijua kutakua kubaya na akaamua kua mlokole mapema!!!!...Bwana mheshimiwa arobaini yako imefika labda fisadi mwenzio akuponze lakini hamna cha Mungu hapa!
Kaungana na aliyekua mkulu wa genge la Mungiki Bw Maina Njenga, ambaye kwa sasa inasemekana ni mlokole na ana kanisa lake!