Mbunge Kilango hakuna atakayepona ripoti ya CAG

Mbunge Kilango hakuna atakayepona ripoti ya CAG

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906
Mbunge wa Same Mashariki, Anna Kilango amesema kwa ufisadi huu uliowekwa wazi na CAG hakuna atakayepona kwenye nchi hii

Mbunge wa Same Mashariki, Anna Kilango amesema kwa ufisadi huu uliowekwa wazi na CAG hakuna atakayepona kwenye nchi hii

Kwaufupi asemetu baraza la mawaziri litavunjwa akiwemo waziri mkuu
 
Ccm Wapata Wapi Ujasiri Wakati Yote Ni Yao
Tunataka Kuona Mambo Ya Karamagi Na Msabaha Yaakitokea Tena Kama Wana Ujasiri

BANGUSIRO
 
Haiwezekani, naona wameshapona ndio maana mpaka leo wezi bado wako ofisini, mamlaka ya uteuzi inawaangalia tu, labda wawili watatu watolewe kafara.

Then business as usual.
Uko sahihi!
 
Huyu mama anataka uteuzi tu. Akiteuliwa maneno yote haya yatamkimbia.

Naona kama awamu hii inataka kufanana na ile ya 4. Awamu ya 4 ufisadi uliibuliwa sana na waliokuwa wapiga kelele wakubwa wa ufisadi ndani ya ccm mfano akina Mwakyembe ndiyo walilamba uwaziri.

Mbunge wa ccm anayetaka uwaziri ayazingatie haya.
 
Huyu mama alipewa ukuu wa mkoa na Magufulu akafanya madudu tu. Atulie Hana jipya waheeedi
 
Mbunge wa Same Mashariki, Anna Kilango amesema kwa ufisadi huu uliowekwa wazi na CAG hakuna atakayepona kwenye nchi hii

Attachments

  • E1AF814E-4BCE-407B-AB84-18AE71C0B2F7.jpeg
    E1AF814E-4BCE-407B-AB84-18AE71C0B2F7.jpeg
    112.6 KB · Views: 3
  • 785D0CDE-1A33-47D4-B3A1-67A507FE6406.jpeg
    785D0CDE-1A33-47D4-B3A1-67A507FE6406.jpeg
    121.5 KB · Views: 3
  • 3977D102-061C-47F0-8FD8-8C4C12772771.jpeg
    3977D102-061C-47F0-8FD8-8C4C12772771.jpeg
    152 KB · Views: 3
  • 501A70D3-740D-4954-B831-070BC25A8191.jpeg
    501A70D3-740D-4954-B831-070BC25A8191.jpeg
    149.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom