Hata Ndugai nae alikiri lakini hakupona. Alisema nimekosa mimi ...nimekosa mimi......nimekosa mimi......ila hakunasukaKwani wakikili kama sabaya hawaponi??
Kwaufupi asemetu baraza la mawaziri litavunjwa akiwemo waziri mkuuMbunge wa Same Mashariki, Anna Kilango amesema kwa ufisadi huu uliowekwa wazi na CAG hakuna atakayepona kwenye nchi hii
Uko sahihi!Haiwezekani, naona wameshapona ndio maana mpaka leo wezi bado wako ofisini, mamlaka ya uteuzi inawaangalia tu, labda wawili watatu watolewe kafara.
Then business as usual.
Mwigulu Hana kosa jamani mkimtoa atakuwa BANGUSILO tuMWIGULU MWIGULU MWIGULU nimekuta mara tatu kabla sijachinja jogoo wangu wa pasaka
Mbunge wa Same Mashariki, Anna Kilango amesema kwa ufisadi huu uliowekwa wazi na CAG hakuna atakayepona kwenye nchi hii