Wewe unao ushahidi wa hiyo chanjo, lijinga kabisa na pimbiGwajima anaropoka bila ushahidi , anadai kuna watu wamepokea pesa kupitisha chanjo , ameombwa ushahidi ameshindwa, wacha panga limpitie
Kizuri gani hiki?kazi yenu kuyumba na upepo tu hakuna mnachosimamia.Kingu kaongea vizuri sana
Ameshapoteza credibility. Ndo maana watu wenye akiri catholics hawahuruhusu kabisa mapadre kuingia siasani. Tayari gwajima waumi watahama kwa mwamposa mana ameonekana hana akiriAskofu angebakia kanisani asingekutwa na haya yote. Mtaka wingi na saba, hupata mwingi msiba.
Yupo kama jpm ambaye alikuwa anatupiga kamba nyingi eti kuna mtu alikuwa akilipwa mil 7 kwa sekunde.Gwajima anaropoka bila ushahidi , anadai kuna watu wamepokea pesa kupitisha chanjo , ameombwa ushahidi ameshindwa, wacha panga limpitie
Ingawa inawezekana ana hoja, especially tunapoambiwa baadhi ya chanjo hazitambuliki wakati wengine washgachukua dozi. Kwanu miili ya binadamu ni ya kufanyia majaribio?Ameshapoteza credibility. Ndo maana watu wenye akiri catholics hawahuruhusu kabisa mapadre kuingia siasani. Tayari gwajima waumi watahama kwa mwamposa mana ameonekana hana akiri