Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Hii kampuni inazalisha umeme gani na Iko Mkoa gani?Mbunge wa Singida Kusini Elibariki Kingu ameitaka Serikali iipe mkataba mnono tena kampuni ya Songas ili iendelee kuiuzia Serikali umeme
Ameyasema leo bungeni Dodoma
Anatumiwa na mafisadi huyo, hawa ndio sheria ya marekebisho ya TISS inawahusuHii nchi ina watu wana maudhi sana.
mkataba mnono tena kampuni ya Songas ili iendelee kuiuzia Serikali umeme
PANAFRICAN ENERGY Managing Director, Andrew Hanna MBE highlights the status of PanAfrican Energy Tanzania's Natural Gas Exploration and the foreseeable future
Inaleta mauzi sanaNi taahira aliyechangamka........
Shida haionekani sasa, Ila baada ya muda huwa wanafanya lobbying kwa viongozi alafu mnaletewa hadithi za gharama za uzalishaji zimepanda duniani hivyo umeme pia unapandaKama Songas wapo tayari iuzia umeme Tanzania chini ya Tsh 250 kwa unit moja sioni shida kwa wao kuendelea kuzalisha umeme kwa matumizi yetu. Maana bado Tanesco wenyewe kuna maeneo mengine wanazalisha umeme kwa gharama ya TSH 700 au zaidi na kuwauzia wananchi kwa TSH 350.