BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI ,Serikali ina mkakati gani wa kuongeza watumishi kada ya afya kwakuwa idadi iliyopo ni watumishi 287 tu ambapo idadi hii haifiki hata nusu ya uhitaji ambayo ni 695.
Kishoa katika swali lake la pili amehoji juu daktari wa usingizi kituo cha afya Gumanga ambapo vifaa vipo vya upasuaji ila hakuna Anaesthesiologist (Daktari wa usingizi)
Akijibu maswali hayo ya mhe. Mbunge, Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt .Festo John Dugange ameahidi kuipa kipaumbele Almashauri wilaya ya Mkalama wakati wa watapotangaza ajira mpya kwenye kada hiyo.
Pia soma: Bunge la 12: Mkutano wa 15, Kikao cha 9, leo Aprili 18, 2024