Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI ,Serikali ina mkakati gani wa kuongeza watumishi kada ya afya kwakuwa idadi iliyopo ni watumishi 287 tu ambapo idadi hii haifiki hata nusu ya uhitaji ambayo ni 695.
Kishoa katika swali lake la pili amehoji juu daktari wa usingizi kituo cha afya Gumanga ambapo vifaa vipo vya upasuaji ila hakuna Anaesthesiologist (Daktari wa usingizi)
Akijibu maswali hayo ya mhe. Mbunge, Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt .Festo John Dugange ameahidi kuipa kipaumbele Almashauri wilaya ya Mkalama wakati wa watapotangaza ajira mpya kwenye kada hiyo.
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI...
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI ,Serikali ina mkakati gani wa kuongeza watumishi kada ya afya kwakuwa idadi iliyopo ni watumishi 287 tu ambapo idadi hii haifiki hata nusu ya uhitaji ambayo ni 695.
Kishoa katika swali lake la pili amehoji juu daktari wa usingizi kituo cha afya Gumanga ambapo vifaa vipo vya upasuaji ila hakuna Anaesthesiologist (Daktari wa usingizi)
Akijibu maswali hayo ya mhe. Mbunge, Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt .Festo John Dugange ameahidi kuipa kipaumbele Almashauri wilaya ya Mkalama wakati wa watapotangaza ajira mpya kwenye kada hiyo.
Kuna wanawake ukisikia ameachana na mumewe kisha mtu baki wa nje unajiuliza Huyu mwanamke amepatwa na nini kukubali kuachika jamani?
Kwanini wasisameheane maisha yakaendelea?
Au karogwa ?
Unless amekufukuza yeye Mwanaume au maisha yako ulijikuta hatarini ambavyo huwa inatokea mara chache sana.
Ndoa nyingi zikivunjika ni mwanamke ambae hataki kujishusha au hakutumia hekima kurekebisha mambo.
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI ,Serikali ina mkakati gani wa kuongeza watumishi kada ya afya kwakuwa idadi iliyopo ni watumishi 287 tu ambapo idadi hii haifiki hata nusu ya uhitaji ambayo ni 695.
Kishoa katika swali lake la pili amehoji juu daktari wa usingizi kituo cha afya Gumanga ambapo vifaa vipo vya upasuaji ila hakuna Anaesthesiologist (Daktari wa usingizi)
Akijibu maswali hayo ya mhe. Mbunge, Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt .Festo John Dugange ameahidi kuipa kipaumbele Almashauri wilaya ya Mkalama wakati wa watapotangaza ajira mpya kwenye kada hiyo.
Kuna mtu unampenda kiasi kwamba unasema hata nikimfumania live nitamsamehe.
Isipokuwa sishauri kwenda kufamania mwenzi wako.
Ni immaturity signal.
Hata kama unatafuta sababu za kuachana kwenda kufumania Hapana aisee.
Usizani kuwa utamdhalilisha mwenzio tu lakini Hata wewe pia.
Tafsiri yaweza kuwa humpi mumeo utulivu wakutosha huenda ndio maana anatoka nje!
Hii ndoa ilivunjika Kwa nguvu ya Magu, akitaka Kafulila ambadilishe kishoa aunge Mabadiliko Kisha demu akachomoa. Ndio magu akamwambia Kafulila achague mke au cheo, kama ilivyokua Kwa historia ya Hassan adi Leo Hassan yupo hai ndio kilichotokea Kwa Kafulila

Mwanamke alitakiwa amtii mumewe.
Imeandikwa: “Mwanamke na amtii mumewe kwa kila jambo
Hata ktk muktadha huo Jesca alipaswa kufanya kile mumewe aliona kinafaa.