Mbunge Luhaga Mpina azidi kutema cheche, sasa ataka Kamati ya PAC imbane CAG

Watanzania gani? Wanyonge wanaopata mulo mmoja au miwili kwa siku,
 
Wakiwepo wa Bunge wengi wa aina hii siasa za cheap popularity zitafutika. CAG abanwe na Bunge na aseme kwa nini ametoa ripoti inayo acha maswali mengi badala ya majibu? Ni kwa manufaa ya nani na kumchafua nani?
 
Julie taxi!
 
Yale yale ya bandari ya Bagamoyo mkataba huko wapi?

CAG anafanya kazi nzuri especially on auditing ‘system based compliance’, ambapo serikali aisikii wala aijifunzi kila report ni mambo yale yale yanajirudia kuna mijitu aifuati taratibu za matumizi wala aifanyi appropriated bookkeeping’s entries za mapato ya serikali kwa sababu wazijuazo wao.

Without downplaying the work of CAG kuna mengine sio lazima akwambia yeye hasa analysis za kibiashara maana tathmini inaweza kuwa mtazamo wa mkaguzi husika who might be biased given the information; someone else might have a different opinion with the same information.

Busara hawa wabunge ni kutaka ATCL na hizi Pension Funds watoe audited financial report zao publicly kila mwenye uelewa afanye analysis zake za operation risks wanazoziona wao badala ya kuambiwa tu na CAG huyu katengeneza hasara, huyu anaidai serikali na watu kutumia hayo mahitimisho kama premises za mijadala.

Mbona NHC na TANESCO uwa na utamaduni wa kutoa statements zao ata kama sio kila mwaka, why not others.

Binafsi baada ya kumsikiliza Utoh either kwa makusudi au kwa kutokujua akichanganya return on investment and annual profit calculations, nimeanza kukosa imani na financial analysis za CAG reports if people like Utoh at one point were at the helm of NAO na swala dogo la annual profit linawashindwa kuelewa on an investment whose return take years.

Matokeo yake ndio haya saa zingine unajikuta unapinga tu au unasifia tu kwa ushambenga bila ya nitty gritty info, hoja za namna hiyo zinakuwa hazina merit.
 
Wanatetea kila jambo kwa sababu aloyeondoka alihujumiwa na waliopo bungeni leo ,mawaziri na manaibu wao!

Mama Samia anza kumfungia vioo huyu Mpina .
Piga pini kali , Chunguza akaunti zake zote, chunguza mali zake zote.
Hawa ndio wanaounda magenge ya kumchafua Rais Wetu wa Tanzania
 
Huyu mbona anahangaika sana na CAG?!
 
Sasa mpina ni kama mtu anayetaka kuvunja kioo kwa sababu kimemuonesha sura yake halisi, akidhani kwa kukivunja sura yake itabadilika!!!???Anamshambulia CAG kwa kuonesha hali halisi ya ATCL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…