Mbunge Luhaga Mpina azidi kutema cheche, sasa ataka Kamati ya PAC imbane CAG

Huyu ni mwongo wa kupuuzwa. Anataja tu kuwa eti watalii wameongezeka na mapato yameongezeka.

Ukweli ni kwamba mwaka 2015 ukuaji wa mapato ya utalii ulikuwa ni 15% kwa mwaka. Lakini mwaka 2019, ukuaji wa mapato ya utalii ulishuka mpaka 3.6%.

Mwanauchumi mzuri hutaji absolute increment bali unataja growth rate.

Wakati wote wa utawala wa Hayati, gowth rate kwenye kila sekta imeanguka. Na hiyo ni kwa sekta zote za uchumi. Na hiyo ndiyo sababu ya mashabiki wote wa utawala wa marehemu, hutawasikia wakitaja growth rate, maana ni aibu tupu.
 
Kwani kuna mahali CAG alisema ATCL kupata hasara ni jambo baya? Nadhani yeye ana report hesabu halafu tafasiri ya hesabu ni jambo lingine.

Inawezekana ATCL inafanya vizuri lakini haimaanishi kwenye mahesabu inapata faida.

Kwanza huwezi kutengemea shirika la ndege ambalo limefufuliwa juzi kupata faida. So it up to ATCL kuja na taarifa ya maendeleo ya kampuni.

CAG asingeweza kureport faida wakati kuna hasara.
 
Wabunge wengine bora asingekuepo Bungeni CAG anabanwa akitoa report kazi ipo ndio tunataka maendeleo kwa sheria watakazotunga Hawa wasiojua kitu...
 
Huyu mpuuzi alipe wale wafugaji aliokuwa anawakamatia mifugo yao na kuwafilisi kwa faini pamoja na mifugo iliyokuwa inakufa kwa kukosa chakula baada ya kukamatwa au kupiga dili na wanunuzi kuwauzia mifugo kwa bei rahisi kwenye minada na wale wavuvi aliokuwa anawadhulumu fedha zao kwa faini na dhulma za wazi.
 
Usipotoshe ukweli! Huyu ndiye aliyekemea tabia za walinzi wa Game kuzuia mifugo ya wafugaji! Na aliagiza ng'ombe wote waliokamatwa waachiwe mara moja.
 
Pumba of the year
 
huyu akaoe kwanza ...ndio aje kuongea
 
Usipotoshe ukweli! Huyu ndiye aliyekemea tabia za walinzi wa Game kuzuia mifugo ya wafugaji! Na aliagiza ng'ombe wote waliokamatwa waachiwe mara moja.
Alikemea baada ya wafugaji na vyombo vya habari kuonyesha huo uovu. Yeye ndie aliyeanzisha hiyo operation.
 
Usipotoshe ukweli! Huyu ndiye aliyekemea tabia za walinzi wa Game kuzuia mifugo ya wafugaji! Na aliagiza ng'ombe wote waliokamatwa waachiwe mara moja.
Nimegundua kitu kikubwa sana hapa JF. Wengi wa waleta mada huwa wananunuliwa kuleta mada iwe za kupondea au kusifia. Wachache san wanakuja na story zilizokuwa balanced.
 
Mbona haeleweki? Ss tunaimini ripoti ya CAG na ni ukweli usiopingika tumepata hasara na hz ndege
 
Hatimaye walengwa wanaanza kujidhihirisha wenyewe bila kutajwa.
Wiki iliyopita kilichovuma nikwamba baadhi ya viongozi waliokua serikalini uwezo wao ni mdogo.Hayo yalisemwa na Professor Assadi.
Walioguswa sana wakajitokeza kujibu akiwemo Ndumbaro,katibu mkuu utumishi
Kupitia mitandao ya kijamii nimeona eti LUHAGA MPINA anasema CAG alikosea kutoa ripoti ile. Sababu zake nikwamba eti kwasasa inalipa wafanyakazi wake kwa 87%, je hao waliobaki wanalipwa kwa utaratibu gani?Kwahiyo kwa maneno take hayo anataka kutushawishi wa Tanzania kwamba ATCL wapo sawa?
Nadhani huyu nae anademka na mama hataki watu wanaodemka hovyo
 
CCM ilianza kujifia pole pole baada ya kuanza kununua wapinzani! That was a grave mistake, leo hii hakuna tena mshikamano ndani ya chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…