Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Status
Not open for further replies.
alikuwa ZZK akaondoka mbona chama kipo imara tu alikuwa silaha akaondoka mbona chama kipo vizuri tu na imara na tena wabunge walipata wengi sana tu hiyo ni tasisi bwana
 
Umesikia hao watu wanasema "Hapa kasi tu" Uelewe maana yake nini. Nani atakuwa na pesa mtaani?
Ndiyo maana pesa imeadimika mtaani. Hili hata Raia Namba Moja wa Tanzania, analijua. Kwa sasa mtaani pesa hakuna...
Ha
 
Akitoka na uchaguzi ukafanyika na mbunge wa ccm akashinda, je uchaguzi wa Meya utarudiwa????? Nini itakuwa hatima ya chaggerism kuongoza jiji hili.

Think twice, THERE MUST BE AN IMPACT TO ALL CHAGGERS
 
ACT wazalendo ndio chama kikuu cha upinzani 2020. Siyo chagadema tena.

Kila kona wananchi waliochagua wabunge wa chadema wanajuta, walihubiri mabadiliko ya kwenda kujifunga makaratasi na kunywa chai kwenye Viwanja Vya bunge!!
 
Mie hata akijitoa Mboe toka ndani ya CHADEMA,Sitateteleka as long as Lowasa yupo ndani ya CHADEMA
na hakusaidia kivile pilika za uchaguzi mkuu. Ni bora akapata ushauri kwa prof lipumba maana hatutakua na muda wa kuombwa msamaha
 
Wanapokezana na mwenzake huyo mzaliwa wa dodoma lkn akajidai kutumia ID ya wahaya
Polesana mimi si wa dodoma.
Vipi una wasi wasi wa nini?
 
Mkuu kwa mfano wanawaondoa kina nani kwenye hizo hoja za teuzi?

Wana athari gani kwenye teuzi za rais?
 
kuongea ndio nini ,wanasiasa wa tanzani ni kutanua mamidomo yao,kupayuka maneno ya hovyohovyo,tushachoka akaongelee chooni sasa tunataka maendeleo maneno hatutaki,kwanza mtu mwenyewe fomu six failure,akasome
Maskini,,,, nakuhurumia sana....

Ukienda kuchukua akili zako kwa ulie mkabidhi hutabwabwaja hivi...
 
kwa taarifa zenu nyie vijana wa Lumumba tareh 24 / 7 / 2016 ndo cku ambayo tutapokea waliokuwa wanachama wa ccm kwa wingi ...kama hamuamini subirini mtaona na kama si kusikia
 
Magamba kzn, mnaana kumsema yule jamaa ambae sii mtanzania kwe sisi wezi yenu ambae tokea amchane mkubwa hakushinda huku mmemnyima hata kuongea mnaongea ya watu
 
Mkuu, hadithi yako inatufundisha nini?
 
Nadhani huyu atakuwa Mnyika
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…