Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Status
Not open for further replies.
Mie hata akijitoa Mboe toka ndani ya CHADEMA,Sitateteleka as long as Lowasa yupo ndani ya CHADEMA
Mkuu mbona umepatwa na wasi wasi kwani unmjua anaye ongelewa?
 
Mtawakubali wengi sana maana ukawa hakuna mbunge gimbi
 
Hii ndio ccm ya Makufuli....!!?

Tuwe wakweli, Toka Lowassa na Jk kumaluza awamu yake ya uongozi ccm wamekuwa wepesi kuliko pamba.

Haiingii àkilini Chama tawala kujiimarisha kwa kusubiria upinzani kupasuka.

Kata ngunge alisema ccm imeishiwa punzi, wengi hawakumwelewa ila bado kidogo watamwelewa na tusubiri Magu akabiziwe uenyekiti.

Magu alipopewa kugombea uraisi alisema "Tanzania ya Makufuli" mean Tanzania ni Mali yake. Sasa ngoja apewe Uenyekiti wa chama, nadhani safari hii atawaambia chama ni Mali ya first Lady.....

Tusubiri
 
Hahaa. Mkuu wangu, nimechomekea tu.

Siunajua njaa ikisumbua sana unatamani hata jirani asikaange ili usisikie harufu ya

mapochopocho?
Pole sana jiunge kwenye kilimo.
 
Mkuu jibu swali sana kwa huyo chumia tumbo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…