Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Atimiza Ahadi yake ya kuchangia Mifuko ya Saruji Ishirini (20) kwaajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Shule ya Msingi Majengo.
Mbunge Martha Mariki aliambatana na viongozi waandamizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Mpanda alipotembelea Kata ya Majengo katika Shule ya Msingi Majengo ili kutimiza ahadi yake.
Aidha, Martha Mariki amesema kuwa pamoja na kwamba Mikoa ya Kigoma, Katavi na Rukwa wameshajiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ila amesisitiza na kuomba zoezi lirudiwe maana watu hawajaisha
Vilevile, Mbunge Martha Mariki alisisitiza Wanawake Wajitokeze kuwania nafasi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa Unaotarajiwa Kufanyika Mwezi Novemba, 2024 na kuwasihi kuendelea kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya nchini ikiwemo Mkoa wa Katavi.