Mbunge Martha Mariki - Kukamilika kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya Kutakuza Uchumi Halmashauri ya Mpimbwe.

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

Mbunge Martha Mariki - Kukamilika kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya Kutakuza Uchumi Halmashauri ya Mpimbwe.

WANANCHI katika Kijiji Cha Chamalendi halmashauri ya Mpibwe Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi wameishkuru serikali Kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya linaloziunganisha kata za Chamalendi na Mwamapuli.

Wamebainisha hayo Mara baada ya Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Katavi,Martha mariki alipotembelea mradi huo unaotekelezwa Kwa Shilingi Billion 4.2

Wananchi hao wamesema sema kuwa walikuwa wanapata shida Sana kuvuka kwenda kata nyingine hasa katika usafirishaji wa mazao na katika shughuli zao za kiuchumi.

''Tunaishukuru serikali ya Mama Samia Daraja hili likikamilika kabisa hatutapata taabu ya kusafirisha mazao yetu kwani masika hapa kuvuka ni tabu pamoja na daraja hili la muda '' amesema Jilongoja Charles mkazi wa Chamalendi.

Kwa upande wake Veronica Shija amesema daraja hilo nimukombozi kwa shughuli za kiuchumi Kwani Watu walikuwa wanapoteza maisha wakati wa masika na pindi Daraja Hilo litakapo kamilika litatusaidi sisi wananchi.

Kwa Upande wake Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa katavi Martha mariki Akiwa katika mradi huo ameishukuru serikali Kwa Kutoa fedha Kaisi Cha shilingi Bilioni 4.2 Kwaajili ya Ujenzi wa Daraja Hilo ambalo ni kiunganishi Kwa wakazi wa Kata ya Chamalendi na Mwamapuli.

''Mradi huu ni mkubwa Sana tunapongeza serikali ya Rais Dk Samia Kwa kutoa shilingi Bilioni 4.2 kukamilika Kwa Daraja hili ni kichocheo Cha uchumi Kwa wananchi hawa” amesema Mbunge Martha.

Katika hatua nyingine amempongeza Mbunge wa Jimbo la Kavuu Geofley Pinda Kwa kuendelea kuhakikisha changamoto zinazowakabili wananchi wa Kavuu zinatatuliwa Kwa Kuleta Miradi mbalimbali ya Maendeleo.

''Nimpongeze Sana kaka yangu Geofley Pinda Mbunge na naibu waziri wetu wa Aridhi namna anavyo jitoa Kwa kuwatumikia wananchi wa Kavuu mfano mzuri ni Daraja hili Daraja hili ni msukumo wake kama Mbunge na ndio maana tumeona ujenzi huu unaendelea"amesema Martha

Mhandisi Sanga anaetekeleza mradi huo kama mkanadarasi wa ndani amesema mradi huo umefikia asilimia 85 na Hadi kufikia mwishoni mwa mwezi wa Tisa utatakua umekamilika.

Kukamilika Kwa daraja Hilo utaondoa kadhia ya wananchi wa Kata za Chamalendi na Mwamapuli ambazo shughuli zao ni kilimo kusafirisha mazao yao kwenda katika mjinmdogo wa majimoto bila changamoto yeyote.
 
Attachments

  • IMG-20230805-WA0027.jpg
    IMG-20230805-WA0027.jpg
    25.8 KB · Views: 5
  • IMG-20230805-WA0026.jpg
    IMG-20230805-WA0026.jpg
    34.6 KB · Views: 4
  • IMG-20230805-WA0030.jpg
    IMG-20230805-WA0030.jpg
    30 KB · Views: 4
  • IMG-20230805-WA0028.jpg
    IMG-20230805-WA0028.jpg
    40.8 KB · Views: 4

Mbunge Martha Mariki - Kukamilika kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya Kutakuza Uchumi Halmashauri ya Mpimbwe.

WANANCHI katika Kijiji Cha Chamalendi halmashauri ya Mpibwe Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi wameishkuru serikali Kwa Ujenzi wa Daraja la Msadiya linaloziunganisha kata za Chamalendi na Mwamapuli.

Wamebainisha hayo Mara baada ya Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Katavi,Martha mariki alipotembelea mradi huo unaotekelezwa Kwa Shilingi Billion 4.2

Wananchi hao wamesema sema kuwa walikuwa wanapata shida Sana kuvuka kwenda kata nyingine hasa katika usafirishaji wa mazao na katika shughuli zao za kiuchumi.

''Tunaishukuru serikali ya Mama Samia Daraja hili likikamilika kabisa hatutapata taabu ya kusafirisha mazao yetu kwani masika hapa kuvuka ni tabu pamoja na daraja hili la muda '' amesema Jilongoja Charles mkazi wa Chamalendi.

Kwa upande wake Veronica Shija amesema daraja hilo nimukombozi kwa shughuli za kiuchumi Kwani Watu walikuwa wanapoteza maisha wakati wa masika na pindi Daraja Hilo litakapo kamilika litatusaidi sisi wananchi.

Kwa Upande wake Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa katavi Martha mariki Akiwa katika mradi huo ameishukuru serikali Kwa Kutoa fedha Kaisi Cha shilingi Bilioni 4.2 Kwaajili ya Ujenzi wa Daraja Hilo ambalo ni kiunganishi Kwa wakazi wa Kata ya Chamalendi na Mwamapuli.

''Mradi huu ni mkubwa Sana tunapongeza serikali ya Rais Dk Samia Kwa kutoa shilingi Bilioni 4.2 kukamilika Kwa Daraja hili ni kichocheo Cha uchumi Kwa wananchi hawa” amesema Mbunge Martha.

Katika hatua nyingine amempongeza Mbunge wa Jimbo la Kavuu Geofley Pinda Kwa kuendelea kuhakikisha changamoto zinazowakabili wananchi wa Kavuu zinatatuliwa Kwa Kuleta Miradi mbalimbali ya Maendeleo.

''Nimpongeze Sana kaka yangu Geofley Pinda Mbunge na naibu waziri wetu wa Aridhi namna anavyo jitoa Kwa kuwatumikia wananchi wa Kavuu mfano mzuri ni Daraja hili Daraja hili ni msukumo wake kama Mbunge na ndio maana tumeona ujenzi huu unaendelea"amesema Martha

Mhandisi Sanga anaetekeleza mradi huo kama mkanadarasi wa ndani amesema mradi huo umefikia asilimia 85 na Hadi kufikia mwishoni mwa mwezi wa Tisa utatakua umekamilika.

Kukamilika Kwa daraja Hilo utaondoa kadhia ya wananchi wa Kata za Chamalendi na Mwamapuli ambazo shughuli zao ni kilimo kusafirisha mazao yao kwenda katika mjinmdogo wa majimoto bila changamoto yeyote.
Huyo ni mbunge wa nchi gani,Nasikia majina kama ya nchi za jirani yetu.
 
Back
Top Bottom