Huyu mama yuko UK sasa mwaka wa Pili anasoma pale Westminster. Lakini cha ajabu hatumuoni kwenye misiba wala magonjwa lakini anaonekana sana kwenye mikutano ya kufungua matawi ya CCM uingereza nzima.
Swali ninalojiuliza ni je anasoma saa ngapi na saa ngapi anakuwa yuko kwenye shughuli alizochaguliwa kufanya?
Maana Sumaye alipokuwa ansoma kule HARVARD huyu mama alikuwa haishiwi vijitripu vya kwenda kule Cambridge. Nimepata nafasi kadhaa kuongea naye kwa karibu lakini naweza kusema kuwa sijui alikuwa na sifa zipi mpaka JK akampa huo ubunge wa kuteuliwa
Uwanja wenu wana JF
Mimi sioni haya kila kundi kuwa na mwakilishi .Hii ni dhana mufilishi sana .Kazi moja Mbunge achaguliwe na achapa kazi awakilishe watu wote .Tabia za kusema mara Ma Albino mara akina Mama ni upuuzi Nchi ama Bunge haliwezi kuwa la namna hiyo na mwisho tunakuwa kama UK kuwapata wajanja kama akina Abuu na kuutumia Umoja wa TZ kwa maslahi yao .Ma albino ni watu walindwe kisheria watu wafikishwe polisi na baadaye Mahakamani .Soon tutakuwa na mashoga nao sijui wakisha tambulika kisheria mtawapa haki wapi .
Namfahamu sana huyu mama personal na ninakubaliana nayi kuwa ni optimistic wa kutupwa
Ilibidi ajikombe kwenye ziara za viongozi mkoani kwake ili apate kuteuliwa ktk race ya viti maalum. Naambiwa na nikachunguza kuwa aliteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ktk taasisi fulani nyeti ambapo alipopata ubunge akaitupa nafasi yake bila hata ya taarifa hivyo naweza kusema hana nidhamu hata kidogo.
Kingine ukimwangalia umbo lake utapata jibu kwa nini amepata nafasi ya ubunge wa viti maalum kutoka kwa watu maalum.
Duh!Yebo Yebo kiboko
hata wewe?
mbona juzi hatukukuona kwenye msiba wa Lambi? wote mlikuwa pamoja kwenye T.A lakini hujaonekana hospitali,vikao vya mazishi mpaka kwenye mazishi
kwa taarifa yako huyu mama yuko hapo GANTS HILL (CENTRAL LINE) na si mbali na kituo cha HAINAULT, sasa alishindwa vipi kuhudhuria mazishi?
Huyu mama yuko hapa mjini takriban miaka 2 na si yeye wa la huyo mwenyekiti wa CCM LONDON ambao huwa tunawaona kwenye shughuliza jamiii
ABUU FARAJI tulikuwa naye na bila kusahau naibu balozi bwana kilumanga (ambaye nimetokea kumuamini kuwa atakuwa mchapa kazi bora kuliko balozi mwenyewe)
Vile vile nishahudhudhuria shghuli za misiba zaidi ya 15 mwaka huu peke yake na huyo Mbunge haonekani lakini shughuli za CCM zikianza tuu bas, yuko radhi kuahirisha madarasa ili apige mapicha
hilo nalo lisisimwe? ama kweli watu wa mtaa wa Cholmeley mna mambo!
any
JK hateui Wabunge wa viti maalum (special seats)kama Martha Mlata. Nimecheck CV yake: ni form IV aliyefeli flat ambaye sifa yake kuu ni kuimba Gospel Songs za Kiswahili. Kama alihojiwa na TV ya huko majuu, basi lazima ilikuwa balaa. Aliongea lugha gani, Kinyiramba? IjabuKuna mwenye idea jinsi JK anavyoteua hawa wabunge - Special seats? Martha Mlata alikuwa akihojiwa kwenye TV wiki kadhaa zilizopita, nilipatwa na butwaa nikijiuliza amechaguliwa kwa vigezo gani. Her point of view was so shallow. Fani yake ni uimbaji kwaya, au sio huyu?
Mwenye profile yake atupe hapa tafadhali, I'm so curiuos!
JK hateui Wabunge wa viti maalum (special seats)kama Martha Mlata. Nimecheck CV yake: ni form IV aliyefeli flat ambaye sifa yake kuu ni kuimba Gospel Songs za Kiswahili. Kama alihojiwa na TV ya huko majuu, basi lazima ilikuwa balaa. Aliongea lugha gani, Kinyiramba? Ijabu
yaani mmefikia hadi kushindana nani anafika msibani nani hafiki? Mwisho mtaulizana nani anatoa zaidi msibani na nani bahili....
Lazima iwepo sababu kubwa sana ya kumuangalia Mbunge huyu mmoja na mahudhurio yake msibani, there had to be something more than funeral attendance.. what is it?
.... Kama alihojiwa na TV ya huko majuu, basi lazima ilikuwa balaa. Aliongea lugha gani, Kinyiramba? Ijabu
yaani mmefikia hadi kushindana nani anafika msibani nani hafiki? Mwisho mtaulizana nani anatoa zaidi msibani na nani bahili....
Na kuhusu huyo mbunge kuweka mbele CCM inashangaza mnaendelea kuuliza swali ambalo lilishajibiwa; Ibara ya 15:1
Lakini vinginevyo, naomba tuambiwe hasa kati ya Wabunge 322 hivi ni kwanini tumuanzishie mada huyu?
a. Kwa vile yuko London
b. Kwa vile yuko karibu na watu wa London ambao ni wanachama wa JF
c. Kwa vile akianza kuhudhuria misiba na sherehe anaonesha kitu fulani
d. Kwa vile yeye ametokea viti maalumu
e. Kwanini?
Lazima iwepo sababu kubwa sana ya kumuangalia Mbunge huyu mmoja na mahudhurio yake msibani, there had to be something more than funeral attendance.. what is it?
Hizi nafasi za wabunge wasio na majimbo zote zinafaa zifutwe kabisaa maana;
Kwa mtu ambaye ni muwakilishi wa wananchi, ni jambo la haki kabisa kudadisiwa jinsi anavyoshirikiana nao hasa wakati wa matatizo. Huu sio umbea ni haki ya kila mpiga kura.
- Zinatumiwa vibaya kuendeleza nepotism na ukabila kwenye vyama.
- Zinaiongezea gharama nchi bila ridhaa ya wapiga kura
- Raisi ni vema akaruhusiwa kuteua mawaziri nje ya wabunge kuondokana na hiki kisingizio cha wabunge wa kuteuliwa
---------------------------------------------
SOURCE: Marekebisho ya Katiba nchini hayaepukikiEdwin I.M. Mtei said:"...naamini kwa dhati kwamba kipengele kilichoingizwa katika Katiba ya Tanzania mwaka 2000 kumwezesha rais kuteua wabunge wasiozidi kumi, miaka 30 baada ya uhuru, ni kinyume kabisa cha uhuru na demokrasia na kinastahili kufutwa mapema iwezekanavyo. Hakina maana yoyote na kinafedhehesha na kudhoofisha maamuzi ya wapiga kura wakati wa Uchaguzi. Maamuzi hayo ni kwamba wawakilishi wao wawe na uwiano wanaoamua wanapopiga kura. Wabunge hawa kumi waondolewe katika Katiba."
JK hateui Wabunge wa viti maalum (special seats)kama Martha Mlata. Nimecheck CV yake: ni form IV aliyefeli flat ambaye sifa yake kuu ni kuimba Gospel Songs za Kiswahili. Kama alihojiwa na TV ya huko majuu, basi lazima ilikuwa balaa. Aliongea lugha gani, Kinyiramba? Ijabu
Mkuu MJJ,
Nafikiri hii ni haki ya mpigakura kujua jinsi mwakilishi wake anavyoshirikiana na anaowawakilisha hasa wakati wa shida.
------------------------------------