huyo mbunge hamna kitu, kuna rafiki yangu alikuwa naye anasoma huko. kila kukicha anapigiwa simu na huyo mama akitaka asaidiwe kujibu essays/homeworks. hamna kitu!!!
Namfahamu sana huyu mama personal na ninakubaliana nayi kuwa ni optimistic wa kutupwa.
Ilibidi ajikombe kwenye ziara za viongozi mkoani kwake ili apate kuteuliwa ktk race ya viti maalum. Naambiwa na nikachunguza kuwa aliteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ktk taasisi fulani nyeti ambapo alipopata ubunge akaitupa nafasi yake bila hata ya taarifa hivyo naweza kusema hana nidhamu hata kidogo.
Kingine ukimwangalia umbo lake utapata jibu kwa nini amepata nafasi ya ubunge wa viti maalum kutoka kwa watu maalum.
Haya natoka tutaonana baada ya miezi miwili tena
Good point Lunyungu!!!,
Kama hataki kujihusisha na masuala ya kijamii yanayowahusu wa-tz wenzake why don't you tell her direct??? Msiwe wepesi wa kusemea pembeni kuwa bibi amekaa uchi haisaidii huenda yeye kwa akili yake haoni kama ni kitu kibaya na kwa kuongea ongea pembeni haijengi tell her bibi umekaa vibaya rekebisha mkao hayo ndio mambo vijana... Punguzeni talalila sizizo na maana..Kama ni kilaza ni matatizo yake na aliyempeleka huwezi kulazimisha awe genius hata kama betri yake iko low kudaka full net work.
huyo Ni Mbunge wa Watanzania Uingereza?
Na yule Albino aliyekuwa uwanja wa ndege je, ana sifa gani za kuteuliwa na JK ubunge?
Mimi sioni haya kila kundi kuwa na mwakilishi .Hii ni dhana mufilishi sana .Kazi moja Mbunge achaguliwe na achapa kazi awakilishe watu wote .Tabia za kusema mara Ma Albino mara akina Mama ni upuuzi Nchi ama Bunge haliwezi kuwa la namna hiyo na mwisho tunakuwa kama UK kuwapata wajanja kama akina Abuu na kuutumia Umoja wa TZ kwa maslahi yao .Ma albino ni watu walindwe kisheria watu wafikishwe polisi na baadaye Mahakamani .Soon tutakuwa na mashoga nao sijui wakisha tambulika kisheria mtawapa haki wapi .
http://3.bp.blogspot.com/_HO8ijU76ZcQ/SvpLANni9RI/AAAAAAAA0Og/sZ2uUw1fJxA/s1600-h/SANY4951.jpg
Mbunge wa viti maalumu (CCM, Singida) Mh. Martha Mlata akiimba pamoja na Twanga Pepeta wakati wa hafla ya kumaliza mafunzo ya manunuzi kwa wabunge yaliyoandaliwa na chuo cha manunuzi na ugavi kwenye ukumbi wa ubongo plaza usiku wa kuamkia leo
Mbunge wetu huyo kaacha kuimba nyimbo za kwaya kaingia TWANGA PEPETA...
Source: michuzi blog
Mzushi tu huyo. Alishindwa ndoa(alikuwa mke wa prof mmoja wa mlimani anakaa mbezi), akawatelekeza watoto akaamua kujichanganya na sisiem. Chakula ya wakubwa hiyo. Kuweni makini mnaomwandama.
Namfahamu sana huyu mama personal ukimwangalia umbo lake utapata jibu kwa nini amepata nafasi ya ubunge wa viti maalum kutoka kwa watu maalum
Mzushi tu huyo. Alishindwa ndoa(alikuwa mke wa prof mmoja wa mlimani anakaa mbezi), akawatelekeza watoto akaamua kujichanganya na sisiem. Chakula ya wakubwa hiyo. Kuweni makini mnaomwandama.
Katika utamaduni wa maisha ya kawaida ya Mtanzania, kushirikiana na wenzako katika masuala ya kijamii kama ugonjwa na vifo ni kitu muhimu sana. Iwapo utamuona mtu hashiriki katika masuala hayo, bila ya kuwa na sababu ya msingi, hasa akiwa ughaibuni ambako watanzania wote huwa ni ndugu moja, basi kuna tatizo fulani.
Tena, iwapo atakuwa anapata nafasi ya kufika kwenye shughuli fulani tu na kushindwa kufika kwenye shughuli nyingine muhimu kijamii, kuna mushkemli mkubwa hapo.
Uonevu mtupu! huko UK kuonekana ktk misiba na harusi ndyo kipimo cha utu?
Sumaye mhuni sana unajua