Mbunge Martha Nehemia: Acheni Kujihusisha na Mahusiano ya Mapenzi katika Umri Mdogo

Mbunge Martha Nehemia: Acheni Kujihusisha na Mahusiano ya Mapenzi katika Umri Mdogo

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Mbunge Viti Maalumu Mkoa wa Singida Matha Gwau amesema;

"Tunamshukuru Mama Samia Suluhu Hassani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kujengea shule nzuri zenye miundombinu mizuri inayowawezesha watoto wa kike kupata elimu; Hivyo niwaombe sana wadogo zangu, watoto wangu msome kwa bidii ili mtimize ndoto zenu" - Martha Nehemia Gwau

"Manyanyaso mengi kwenye jamii yanakuja pale watu wanapoona tunawategemea lakini mkisoma mkapata kazi zenu mkajitegemea wenyewe hakuna mtu atakunyanyasa, Mtoto wa Kike jiamini unaweza, Soma kwa bidii timiza ndoto zako" - Matha Nehemia Gwau.

WhatsApp Image 2023-03-08 at 20.22.16.jpeg
WhatsApp Image 2023-03-08 at 20.22.16(3).jpeg
 
Back
Top Bottom