Mbunge: Mitaala inayotengenezwa haimsaidii Mtanzania

Mbunge: Mitaala inayotengenezwa haimsaidii Mtanzania

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Katani Ahmed Katani (Mbunge wa Tandahimba) amesema Vyuo vinaendelea kutengeneza Mitaala na Kozi ambazo hata Mhitimu akienda 'Ajira Portal' hakutani na kitu alichosomea. Amesema, "Tunaendelea kutengeneza Mitaala ambayo haiendi kumsaidia Mtanzania"

Amefafanua, "Tunaendelea kutumia Mitaala ya Kikoloni ambayo Mwanafunzi unampa Masomo 11, anapoenda Kidato cha Tano na Sita anaenda kuchagua masomo matatu. Cheti cha Kidato cha Nne Mtoto anapata Daraja la Kwanza lakini hujui uwezo wake halisi ni upi"
 
Back
Top Bottom