johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unamaanisha Serukamba?Tetesi zimezagaa kuwa kuna mbunge Jirani na jimbo la Spika aliyejiuzulu amekasirishwa na tafsiri ya sheria hivyo atajiuzulu ili agombee tena kwa mujibu wa Katiba
Inadaiwa mbunge huyo wa barabara ya Dodoma - Morogoro ana ushawishi mkubwa sana kwa Wapiga kura Jimboni Kwake
Ngoja tuone, ikumbukwe Rostam Aziz na Lazaro Nyalandu walishawahi kujiuzulu
Ramadan kareem!
Akijiuzulu hela za marudio ya uchaguzi achykue za mama yake... hatutaki kuchezea hela kama enzi za fashisti Jiwe.Tetesi zimezagaa kuwa kuna mbunge Jirani na jimbo la Spika aliyejiuzulu amekasirishwa na tafsiri ya sheria hivyo atajiuzulu ili agombee tena kwa mujibu wa Katiba
Inadaiwa mbunge huyo wa barabara ya Dodoma - Morogoro ana ushawishi mkubwa sana kwa Wapiga kura Jimboni Kwake
Ngoja tuone, ikumbukwe Rostam Aziz na Lazaro Nyalandu walishawahi kujiuzulu
Ramadan kareem!
Wew ni Nani mlamba asali sivyo?? Maana nyie nchi ni yenuAkijiuzulu hela za marudio ya uchaguzi achykue za mama yake... hatutaki kuchezea hela kama enzi za fashisti Jiwe.
I doubt the authenticity of this story!. Hii itakuwa ni concocted story!.Tetesi zimezagaa kuwa kuna mbunge Jirani na jimbo la Spika aliyejiuzulu amekasirishwa na tafsiri ya sheria hivyo atajiuzulu ili agombee tena kwa mujibu wa Katiba
Inadaiwa mbunge huyo wa barabara ya Dodoma - Morogoro ana ushawishi mkubwa sana kwa Wapiga kura Jimboni Kwake
Ngoja tuone, ikumbukwe Rostam Aziz na Lazaro Nyalandu walishawahi kujiuzulu
Ramadan kareem!
[emoji817] sahih Sana Dr mm pia Nina wasiwasiI doubt the authenticity of this story!. Hii itakuwa ni concocted story!.
P
Mkuu kwani humjui Jo kwa hadithi za kutunga?I doubt the authenticity of this story!. Hii itakuwa ni concocted story!.
P