Mbunge Msukuma ni wa kuogopwa kama ukoma, ni bendera fata upepo na mchumia tumbo

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Wakati taifa likihangaika na matatizo ya hapa na pale, serikali imemua kutumia baadhi ya wapiga propaganda/chawa wake kusema uongo.

Ikumbukwe Msukuma ni kati ya wabunge waliyokuwa upande wa JPM na hata baada ya kufa walitumia nguvu nyingi sana kumtetea.

CCM iliona hilo na kujua huyu bwana anaushawishi mkubwa pamoja na akina Lusinde, kilichofuata ni kulambishwa asali.

Baada ya kulamba asali alipatwa kigugumizi, sasa ameungana na timu Msoga kutafuna mali za nchi pamoja na kumtetea vitu vya hovyo.

Kumbukeni Msukuma na timu Msoga walikuwa mbalimbali, ndiyo maana hata mwaka 2015 alikuwa timu Lowassa. Kama kawaida yake upepo ulipogeuka akakimbilia kwa JPM, ni 'opportunist' mkubwa na siyo mzalendo.

Msukuma ndiyo karata muhimu wanayoitegemea CCM kwa Kanda ya Ziwa, maana watu wa kule hawajawahi kuiamini timu Msoga hata siku moja. Kwa sasa yeye ndiyo yupo kule kutetea ujinga na kuhadaa wananchi.

Hata propaganda anazopiga sasa ni mkakati wa kuisafisha timu yake mpya ya Msoga, watu waamini ni wasafi lakini ukweli ni kwamba nchi imeoza.

Ukweli utabaki palepale chini ya utawala wa Samia nchi ipo katika kipindi kigumu mno, wanasiasa wanatumia muda mwingi kuongea porojo na propaganda badala ya kutenda.

Nawaasa, kwa sasa usije ukaamini neno la Mbunge Msukuma au Lusinde hata tone kwasababu tayari wako timu Msoga hawana tofauti na akina Steve Nyerere au Mwijaku.
 
IMG_20221126_150742.jpg
 
Msukuma hana makosa yeye anacheza mziki kulingana na beat lilivyo
 
Unakumbuka propaganda wakati wa Jiwe? Ilikuwa ni hatari sana, mara sisi ni donor country mara sisi tunajenga kwa pesa zetu, mara tunakopesheka yaani uongo uongo tu mara sijui kila Mtanzania atapata noa mara laptop kwa kila mwalimu, aisse
 
Wakati taifa likihangaika na matatizo ya hapa na pale, serikali imemua kutumia baadhi ya wapiga propaganda/chawa wake kusema uongo.

Ikumbukwe Msukuma ni kati ya wabunge waliyokuwa upande wa JPM na hata baada ya kufa walitumia nguvu nyingi sana kumtetea.

CCM iliona hilo na kujua huyu bwana anaushawishi mkubwa pamoja na akina Lusinde, kilichofuata ni kulambishwa asali.

Baada ya kulamba asali alipatwa kigugumizi, sasa ameungana na timu Msoga kutafuna mali za nchi pamoja na kumtetea vitu vya hovyo.

Kumbukeni Msukuma na timu Msoga walikuwa mbalimbali, ndiyo maana hata mwaka 2015 alikuwa timu Lowassa. Kama kawaida yake upepo ulipogeuka akakimbilia kwa JPM, ni 'opportunist' mkubwa na siyo mzalendo.

Msukuma ndiyo karata muhimu wanayoitegemea CCM kwa Kanda ya Ziwa, maana watu wa kule hawajawahi kuiamini timu Msoga hata siku moja. Kwa sasa yeye ndiyo yupo kule kutetea ujinga na kuhadaa wananchi.

Hata propaganda anazopiga sasa ni mkakati wa kuisafisha timu yake mpya ya Msoga, watu waamini ni wasafi lakini ukweli ni kwamba nchi imeoza.

Ukweli utabaki palepale chini ya utawala wa Samia nchi ipo katika kipindi kigumu mno, wanasiasa wanatumia muda mwingi kuongea porojo na propaganda badala ya kutenda.

Nawaasa, kwa sasa usije ukaamini neno la Mbunge Msukuma au Lusinde hata tone kwasababu tayari wako timu Msoga hawana tofauti na akina Steve Nyerere au Mwijaku.
Wakumpuuza tu.
 
Back
Top Bottom