Naomba sana nisiongee maana nitatukana.Aisee yani siku nikikutana na huyu darasa la saba nita muuliza swali moja tu.
Ulishafika Nairob ukajionea idadi kubwa ya wageni na mataifa makubwa yamewekeza hapo nairob na kenya nzima.
Huyu kama ndio mbunge wenu hata uchambuzi hafahamu anachokiongelea ni uchawa tu.
Kujiuliza hapa east afrika kuhusu wa kenya wanavyotapakaa kila kona ya dunia.
Yeye hapa kwetu hata jimboni mwake ajawahi kupeleka watu visiwa vya usheli sheli wajifunze watu wake.