Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Tatizo si mbunge peke yake, ni system nzima iliyombeba. Kuanzia DC, RC, RPC, OCD, Msimamizi wa jimbo nk. Hao mapolisi wengine walikuwa wanatekeleza amri tu. Na kwakweli system ni mbovu kabisa na imelelewa hivyo tangu 1995.
Mwl Nyerere ndiye alisababisha yote haya pale aliposhindwa kuona ni vipi CUF itawale Zanzibar na CCM itawale serikali ya muungano. Tunakumbuka aliposhinikiza CCM itangazwe mshindi zanzibar. Tangia hapo CCM wakajua kuwa unaweza ukashindwa bado ukajitangaza mshindi na kwa kuwa unazo nguvu za dola basi hakuna atakayekusumbua - ni ubabe huhuo wanaouendeleza hadi sasa. Hakika iko siku historia itamhukumu Nyerere. Naomba vatican wachunguze kwa makini kabla ya kumtaja kuwa mtakatifu!

ni mpaka pale mwizi atakapokamatwa,Safi sana wananchi wa BK , Swali gumu la kujiuliza tutaibiwa kura mpaka lini?
Ni jana nimetoka msibani Bukoba. Habari zinasema mbunge wa Karagwe hawezi kukaa jimboni kwake kuepuka hasira za wapiga kura. Migomba shambani kwake imekatwa na yeye amesafirishwa kwa escort ya polisi waliojizatiti kwa lolote mpaka Bukoba airport. Wababe wake wanadai hakushinda kwa haki. 😎
Nakubaliana na wewe maamuzi ya nyerere yanatutesa na mimi naamini nyerere hawezi kutangazwa mtakatifu hata siku moja maana machungu wanayopata watanzania leo ni matunda ya maamuzi aliyoyafanya nyerere wakati ule .Fikiria kama angeruhusu demokrasia leo Tanzania ingekuwa mfano wa kuigwa africa.Tanzania tunayo kazi ya ziada kuondoa utamaduni aliotuaCHIA BABA WA TAIFA.Hii mada yako KAMAKABUZI ILETE KAMA POST TUJADILI KWA KIREFU.UMETUFUMBUA SANA.KARIBU TENA