TANZIA Mbunge Mussa Hassan Mussa Silima, afariki dunia

TANZIA Mbunge Mussa Hassan Mussa Silima, afariki dunia

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mussa Hassan Mussa Silima, Mbunge wa Jimbo la Amani Zanzibar amefariki dunia leo 13/10/2022 nyumbani kwake Zanzibar na taratibu za maziko zinafanyika.

Kwa mujibu wa taarifa mwili wa marehemu unapelekwa kijijini kwao Bwejuu kwa ajili ya maziko yanatarajiwa kufanyika saa kumi leo baada ya sala ya alasiri.
20221013_131223.jpg

View attachment 2385744
 
Wewe ndo umekurupushwa. Nilete taarifa rasmi kwani mimi ni Mamlaka? Hata hujui nani anatoa taarifa rasmi. Muone kwanza
Ungetujuza kwanza, huyo jamaa ni nani. Wabunge wengi tu wanafariki, whats so special?

RIP Mbunge Silima.
 
Huyu hata kwa kumuangalia sura tu unajua ni mgonjwa. Anyway R.I.P
 
Misiba ya hawa jamaa haina mambo mengi ingekuwa Sisi ni mwendo wa wiki mbili bado tunafanya maonesho tu
wafanyibiashara hawa, hawataki kuua mtaji, si unajua Mudi alikuwa mfanyabiashara! Unakufa saa tano, saa kumi unazikwa! Mkitoka makaburini mnakula Wali na maharage au chai na maandazi msiba umeisha leo leo
 
Back
Top Bottom