Kwa msisitizo na kujiamini, Mbunge wa Njombe Deo Mwanyika ameweka wazi bungeni kuwa wananchi wa Njombe hawahitaji kiongozi mwingine — akisema kuwa yeye anatosha kuwavusha kwenda kwenye nchi ya ahadi.
Ameeleza kuwa utendaji wake na dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi wake inajidhihirisha wazi, na kwamba anajua Njombe inahitaji nini, na njia ya kufika huko.