Mbunge Mwinyi: Kilimo na Ubunifu havijapewa support ipasavyo kwenye Bajeti ya Serikali

Mbunge Mwinyi: Kilimo na Ubunifu havijapewa support ipasavyo kwenye Bajeti ya Serikali

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mbunge Abdullah Mwinyi amesema Bajeti ya Serikali haijaunga mkono ipasavyo Sekta za Kilimo na Ubunifu ambazo zinategemea kuwapa Ajira nyingi kwa Watanzania.

Akichangia majadiliano Bungeni amesema, "Lazima turuhusu Ubunifu ustawi na tuulee, sekta hiyo kwa Tanzania ukilinganisha na Afrika amashariki ndio ina kodi kubwa".
 
Back
Top Bottom