Mbunge Mwinyi: Ligi ya Bara na Zanzibar, ipi ni Ligi ya taifa?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Jimbo la Bumbwini Unguja, Zanzibar Mwinyi Jamal Ramadhani ameuliza swali la Nyongeza kwa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo juu ya mpango wa serikali kuunganisha Ligi kuu Bara na Zanzibar kuwa Ligi Moja.

Akijibu Swali hilo Naibu Waziri Hamisi Mwinjuma amesema kuwa Serikali imeanza mazungumzo maalumu katika kuwezesha kupata Ligi Moja ambayo itatumika kama Ligi ya Taifa.

Your browser is not able to display this video.
 
Akiambiwa Zanzibar yake ifutwe na kugeuzwa kuwa Mkoa miwili ndani ya serikali moja ya JMT atakubali?
 
Hajui kama wana mamlaka yao kisoka. Wakiunganisha hamna timi yao itakayocheza club bingwa wala shirikisho milele
 
Wamechota pesa Tanganyika kujenga viwanja sasa wanatafuta namna ya kupata pesa kupitia tinu za Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…