Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MBUNGE NGASSA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA WILAYA IGUNGA
1. Awaasa Wauguzi kuzingatia misingi ya taaluma (professionalism) na kanuni za maadili ya kazi kuhudumia wagonjwa.
2. Akemea lugha za mauzi na kebehi kwa wagonjwa.
3. Akagua ujenzi wa majengo mapya ya thamani ya Shilingi Milioni Mia Tisa (Tshs . 900,000,000/=) yanayojengwa Hospitali ya Wilaya ya Igunga
4. Wagonjwa watoa hisia zao kwa Mbunge kwa kufuatilia ubora wa huduma za afya
5. Wampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa Fedha za Maendeleo Jimbo la Igunga
Imetolewa na:
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Igunga
Attachments
-
WhatsApp Image 2024-04-18 at 09.10.05.jpeg89 KB · Views: 5 -
WhatsApp Image 2024-04-18 at 09.10.06.jpeg91.1 KB · Views: 5 -
WhatsApp Image 2024-04-18 at 09.10.06(1).jpeg127.4 KB · Views: 6 -
WhatsApp Image 2024-04-18 at 09.10.06(2).jpeg75.7 KB · Views: 5 -
WhatsApp Image 2024-04-18 at 09.10.07.jpeg72.8 KB · Views: 5 -
WhatsApp Image 2024-04-18 at 09.10.08.jpeg72.6 KB · Views: 5