Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa ameshiriki Kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Tabora kilichofanyika Leo tarehe 20 Aprili, 2024 kwenye Ukumbi wa Isike Mwanakiyungi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
Mhe Ngassa (MB) amechangia mambo mbalimbali ikiwemo;
1. Barabara ya Nanga - Mwabalaturu - Itunduru - Kagongwa
2. Barabara ya Igurubi - Mwagala - Mbutu
3. Barabara ya Mbutu - Isakamaliwa - Shinyanga Mpakani
4. Barabara ya Igunga - Mwanzugi - Lugubu - Itumba
5. Lami kuunganisha Igunga Mjini na Mbutu darajani
6. Madaraja ya Mwandali (Mwanzugi), Isugilo (Igunga Mjini), Chagana (Lugubu) na Mwazizi (Bukoko)
Miradi yote ipo kwenye hatua za utekekelezaji, Mhe Ngassa (MB) ameomba michakato ya kupata wakandarasi iharakishwe ili kutatua Changamoto za Barabara.
#NASIMAMANASAMIA
#KAZINAMAENDELEO