palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Mgombea wa ubunge kupitia CCM njombe kaskazini Jah people ambaye elimu yake ya ni darasa la PILI SIYO LA SABA kama yeye alivyo jinadi amewakera wabena wa njombe na hivyo kudiriki kusema kura zao zote wanampa Alatanga Nyagawa wa CHADEMA. Yule jamma ni mkinga na ujuavyo wengi wa wakazi wa jimbo hilo ni wabena eti ana waambia wabena MMEPANUA WAKINGA TUMEINGIZA.
?????????Mgombea wa ubunge kupitia CCM njombe kaskazini Jah people ambaye elimu yake ya ni darasa la PILI SIYO LA SABA kama yeye alivyo jinadi amewakera wabena wa njombe na hivyo kudiriki kusema kura zao zote wanampa Alatanga Nyagawa wa CHADEMA. Yule jamma ni mkinga na ujuavyo wengi wa wakazi wa jimbo hilo ni wabena eti ana waambia wabena MMEPANUA WAKINGA TUMEINGIZA.
Mgombea wa ubunge kupitia CCM njombe kaskazini Jah people ambaye elimu yake ya ni darasa la PILI SIYO LA SABA kama yeye alivyo jinadi amewakera wabena wa njombe na hivyo kudiriki kusema kura zao zote wanampa Alatanga Nyagawa wa CHADEMA. Yule jamma ni mkinga na ujuavyo wengi wa wakazi wa jimbo hilo ni wabena eti ana waambia wabena MMEPANUA WAKINGA TUMEINGIZA.
Yule mgombea mwenza wa Santuri kaishia darasa la ngapi vile?

Sijui MOD aazishe tution kwa hawa ndugu zetu ili wajue jinsi ya kuandika na kutuma post zao
Mgombea wa ubunge kupitia CCM njombe kaskazini Jah people ambaye elimu yake ya ni darasa la PILI SIYO LA SABA kama yeye alivyo jinadi amewakera wabena wa njombe na hivyo kudiriki kusema kura zao zote wanampa Alatanga Nyagawa wa CHADEMA. Yule jamma ni mkinga na ujuavyo wengi wa wakazi wa jimbo hilo ni wabena eti ana waambia wabena MMEPANUA WAKINGA TUMEINGIZA.
acheni matusi kama huyo mgombea wa njombe.
Si mgombea wa Njombe ni Njombe Kaskazini.
Kuhusu matusi ni kawaida ya mtu aliyejikinai ama mwenye kiburi ama aliyejaa dharau huwa anayatoa tu (directlt au indirectly)