Mbunge Norah Mzeru Aendeleza Mbio za Ujenzi wa Nyumba za Watumishi wa UWT Mkoa wa Morogoro

Mbunge Norah Mzeru Aendeleza Mbio za Ujenzi wa Nyumba za Watumishi wa UWT Mkoa wa Morogoro

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi NONDO NA KOKOTO KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA UWT MKOA WA MOROGORO vyenye thamani ya shilingi milioni moja (1,000,000)

Sambamba na hilo Mhe. Norah Waziri Mzeru amesema ataendelea kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Pamoja na Maono ya UWT Chini Ya Viongozi wetu Kuanzia Ngazi ya Taifa Mpaka Mashina kuhakikisha Nyumba za Watumishi zinajengwa Kwa Kushirikiana na Viongozi wengine

Itakumbukwa kuwa Mhe. Norah Waziri Mzeru tangu Mwanzo tayari zaidi ya Milioni Nne (4,000,000) amekwisha zichangia Ujenzi wa nyumba ya Mtumishi wa UWT Mkoa na bado kazi Inaendelea

#TanzaniaYaSamia
UWT IMARA JESHI LA MAMA
KAZI IENDELEE.

Ofisi ya Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Morogoro
Mhe. Norah Waziri Mzeru

WhatsApp Image 2023-09-13 at 17.57.07(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-09-13 at 17.57.07.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-13 at 17.57.06(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-09-13 at 17.57.06.jpeg
 
Back
Top Bottom