Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mbunge Edward Ole Lekaita Kisau, Mbunge wa Jimbo la Kiteto amesema kabla ya kutekelezwa kwa miradi aliyoileta Dkt. Samia Suluhu Hassan Kiteto kina mama walikuwa wakitoka nje kuchota maji saa 8 usiku kwa ajili ya familia na mifugo.
"Kijiografia Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara ni Jimbo kubwa sana, ni kubwa kuliko Mkoa wa Kilimanjaro na kwa sababu ni wakulima na wafugaji na wametawanyika sana" - Mhe. Edward Ole Lekaita Kisau, Mbunge wa Jimbo la Kiteto
"Miaka 4 iliyopita hali ya maji Kiteto ilikuwa nyuma sana kwa wastani vijijini upatikanaji wa maji ulikuwa asilimia 37 mpaka 40 tulikuwa chini sana. Na mjini miundombinu ilikuwa ya zamani lakini ilikuwa asilimia 40. Mimi nilipata bahati Dkt. Samia alikuja. Kwa sasa upatikanaji wa maji vijijini kwa sasa tunaongelea asilimia 64, na mjini kwa sasa upatikanaji wa maji ni asilimia 74"