Mbunge Oliver Semuguruka Aguswa na Malezi Duni kwa Watoto, Kagera

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wanawake Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Semuguruka maarufu "Twiga" amewataka wazazi kuwa karibu na watoto wao na kuwalea katika maadili ya Kitanzania ili wawe raia wema.

Mhe. Oliver Semuguruka Ameyasema hayo wakati akihitimisha ziara yake mkoani Kagera ambapo alizunguka wilaya zote za Mkoa huo kuzungumza na wananchi.

"Namshukuru Mungu tarehe 23 Julai, 2024 nimehitimisha ziara yangu Mkoa mzima wa Kagera wenye Wilaya 8 na Majimbo 9, nikiwa na afya ya kutosha. Nawashukuru kwa ushirikiano mlionipa" - Mhe. @oliver_semuguruka

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…