Mbunge Saashisha Mafuwe Asisitiza Mtaala Mpya Uzingatie Talanta ya Mwanafunzi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

MBUNGE SAASHISHA MAFUWE ASISITIZA MTAALA WA ELIMU UZINGATIE TALANTA YA MWANAFUNZI

Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Elinikyo Mafuwe akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Elimu Mhe. Prof. Adolf Mkenda leo tarehe 16 Mei, 2023 kwa mwaka wa fedha 2023-2024

"Stahiki za wahadhiri hazitoshi, hatutawatendea haki, Ili aweze kutulia kule walipo na waweze kufanya majukumu yao kwa umakini waboreshewe/wapewe stahiki zao" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Hai.

"Wanafunzi walioko Vyuo Vikuu, hawaandaliwi malezi bora ambayo yanaendana na maadili yetu, hata hii mitaala tunayoenda kuiandaa haitasaidia chochote, huo mtaala umetupa matokeo gani?" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Hai.

"Hawa ndiyo viongozi tunaowaandaa, Ile fiscally appearance haiendani na elimu anayopewa, ni vyema kutathmini kabla ya kuingia kwenye mtaala mpya" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Hai.

"Password ya Maendeleo yetu yapo kwenye Knowledge and Skills, wakumbukeni wastaafu wetu ambao wametumikia nchi yetu pamoja na Waalimu wanaojitolea Ili kuepuka mkanganyiko unaojitokeza sasa hivi" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Hai.

"Lazima tutengeneze Dira, mtaala huu unaolenga kukuza ujuzi uangalie talanta ya mwanafunzi" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Hai.

"Ni namna gani nchi inaweza kuwa na Mipango ya miaka 100 iendane na Interest za Tanzania ambazo Kila kiongozi atalazimika kuzifuata, tusiwe waoga wa kufikiri" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Hai.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2023-05-16 at 16.59.13(2).jpeg
    WhatsApp Image 2023-05-16 at 16.59.13(2).jpeg
    43.4 KB · Views: 6

Bila kuwalipa pesa mzuri walimu haya MABADILIKO ni upumbavu kama upumbavu mwingine

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom