Mbunge Sadifa alalamika, asema Wastara alimloga

Ptuuu! Mungu anusuru kizazi changu na janaume Kama Hili, khaaaa! Ana mambo ya ajabu Kama hana watoto wa kike
sasa hilo janaume linakosa gani hapo jaman, kama linasemewa uwongo lisikanushe? lamba tu hayo mate yarudi kinywani.
 
Wewe kule kwenu buhangija, shinyanga hakuna uchawi? Acha mambo yako
 
Hapa Wastara, Ajue Anashindana na Wazee wa Majukwaani a.k.a Wanasiasa, Asishangae Akagaragazwa kwa K.O Maana Siasa ni Mchezo mchafu, na Uchafu uo ndiyo unaletwa ndani ya Ndoa!
Hivi kuna bongo movie asiyeabudu pesa?
 
Huyo
Hivi Mheshimiwa Mbunge anaamini kurogwa? Hii ndo 'Dinyalile Dinyale'. Ipo kaaaazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…